ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 11, 2014

WAMILIKI WA BLOGS NCHINI WAPIGWA MSASA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akiwahutubia wamiliki mbalimbali wa Blogs za Tanzania kuhusu Mwongozo uliotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuelekea katika Uchaguzi Mkuu hapo mwakani katika mkutano na wamiliki hao leo 11 Oktoba, 2014 uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mhandisi Mkuu wa masuala ya Utangazaji toka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Andrew Kisaka akichangia mada kuhusu Mwongozo uliotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuelekea katika Uchaguzi Mkuu hapo mwakani katika mkutano na wamiliki mbalimbali wa Blogs za Tanzania leo 11 Oktoba, 2014 uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari toka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Assah Mwambene akichangia mada kuhusu Mwongozo uliotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuelekea katika Uchaguzi Mkuu hapo mwakani katika mkutano na wamiliki mbalimbali wa Blogs za Tanzania leo 11 Oktoba, 2014 uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wamiliki mbalimbali wa Blogs nchini Tanzania wakitoa maoni yao na kuuliza maswali mbalimbali kuhusu Mwongozo uliotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuelekea katika Uchaguzi Mkuu hapo mwakani katika mkutano na wamiliki mbalimbali wa Blogs za Tanzania leo 11 Oktoba, 2014 uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wamiliki mbalimbali wa Blogs nchini Tanzania wakitoa maoni yao na kuuliza maswali mbalimbali kuhusu Mwongozo uliotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuelekea katika Uchaguzi Mkuu hapo mwakani katika mkutano na wamiliki mbalimbali wa Blogs za Tanzania leo 11 Oktoba, 2014 uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akitoa ufafanuzi zaidi kwa mwanahabari kuhusu Mwongozo uliotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuelekea katika Uchaguzi Mkuu hapo mwakani katika mkutano na wamiliki hao leo 11 Oktoba, 2014 uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa masuala ya Utangazaji toka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Habbi Gunze akichangia mada kuhusu Mwongozo uliotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuelekea katika Uchaguzi Mkuu hapo mwakani katika mkutano na wamiliki mbalimbali wa Blogs za Tanzania leo 11 Oktoba, 2014 uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Mlimani City jijini Dar es Salaam.

(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA, MAELEZO-DSM)

No comments: