Advertisements

Saturday, November 1, 2014

WAZIRI MKUU ANOGESHA HAFLA YA KUCHANGIA MADAWATI, JIJINI DAR

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda wa tatu kutoka kulia akibonyeza namba ya simu kwa ajili ya kuchangia madawati 6000 ya wanafunzi wenye ukosefu  wa madawati nchini katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa  na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua vifaa hivyo  iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia ) akiangalia moja ya mfano wa dawati katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua  madwati 6000 kwa ajili ya wanafunzi  iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa hotuba yake  katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa  na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kuununua madawati 6000kwa ajili ya wanafunzi wenye ukosefu wa vifaa hivyo  iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.
 Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Mahusiano na Utaratibu ,Stephen  Wassira  akitatangaza kiasi cha sh. milioni 17 kilichochangwa na wanabunda  ajili ya kuchangia madawati 6000ya wanafunzi wenye ukosefu  wa madawati nchini katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa  na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua vifaa hivyo  iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.
 Mke  wa Rais Mama Salma  Kikwetewa pili kutoka (kulia) akiingia katika ukumbi wa Diamond Jubilee kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa  na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua  mawadati  6000  ya wanafunzi wenye ukosefu wa vifaa hivyo   iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam. Kulia wa kwanza ni Balozi Mwanaidi  Maajar na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya IlalaRaymond Mushi.
 Mke  wa Rais Mama Salma  Kikwete wan ne kutoka (kulia)akiwa katika picha ya pamoja na  baadhi ya wadau   katika ukumbi wa Diamond Jubilee kwenye  hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa  na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua  mawadati  6000  ya wanafunzi wenye ukosefu wa vifaa hivyo   iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.
 Waziri Mkuu akizungumza ...
 Sehemu ya wageni walioalikwa katika hafla hiyo....
Msanii Mwasiti Almasi akituimbuiza na wasanii wenzake kutoka THI kwenye  hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa  na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua  mawadati  6000  ya wanafunzi wenye ukosefu wa vifaa hivyo  iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam. PICHA ZOTE NA MAGRETH KINABO, MAELEZO

1 comment:

Anonymous said...

Sawa wana siasa tunachangia madawati, lakini nafikiri la muhimu ni KUCHANGIA WALIMU, tukumbuke hata baa kuna viti sembuse shuleni. LIPENI WALIMU JAMANI