Nyomi iliyohudhuria sherehe za kilele hicho.
Burudani mwanzo mwisho.
DJ Makey akifanya yake stejini.
Ma DJ kutoka EFM wakitoa burudani.
Mtangazaji wa EFM Radio, Maulid Kitenge akiwaburudisha mashabiki.
Omary Katanga wa EFM naye akifanya yake stejini.
dWafanyakazi wa EFM Radio wakiwa katika pozi wakati wa kilele cha EFM Bar kwa Bar Muziki Mnene.
(PICHA NA PATRICK BUZOHELA / GPL)
No comments:
Post a Comment