ELIZABETH MICHAEL (LULU) WA BONGO MOVIE AOMBA NAFASI YA KUOLEWA NA IDRIS MSHINDI WA BIG BROTHER AFRICA
Nibaada ya Idris kujinyakulia zaidi ya mili 450 kutoka katika big brother hotshots....msanii wa bongo movie Lulu Michael afunguka kumzimia vibaya sana Idris tangu day one akiwa mjengoni
4 comments:
Anonymous
said...
Huyu msichana ana shida gani, mara Justin Bieber mara Idris, mara X, mara X. Ama kweli anaonyesha rangi yake ni ipi.
4 comments:
Huyu msichana ana shida gani, mara Justin Bieber mara Idris, mara X, mara X. Ama kweli anaonyesha rangi yake ni ipi.
No ni udaku tu huyu mtoto hajasema
Gold digger at work.
Pesa tu ndio alioizimia hana lolote. Kijana nenda shule mpaka upate PHD, wanawake wazuri wengi wapo hawaishi. Ukizidi kukua utajionea mengi.
Post a Comment