Advertisements

Saturday, December 20, 2014

IBADA YA MISA YA MAMA YAKE NAMBAI OWINGS MILLS, MARYLAND.

Padri Honest Munishi akiongoza ibada ya misa ya kumwombea mama mpendwa wa Nambai iliyofanyika Owings Mills, Maryland siku ya Jumamosi Desemba 20, 2014 na kuhudhuriwa na Watanzania wa DMV na marafiki zao.
Padri Honest Munishi akiongoza Ibada ya misa ya kumwombea mama mpendwa wa Nambai aliyefariki Tanzania wiki iliyopita siku ya Ijumaa Desemba 12, 2014.
Nambai akifuatilia Ibada ya misa ya kumwombea mpendwa mama yake mzazi.
Kushoto ni Fausta mtoto wa baba mdogo wa Nambai aliyekuja toka Tanzania akiwa na Rehema Mke wa Nambai wakifuatilia Ibada ya misa ya kumuombea marehemu mpendwa mama ya Nambai.
Faraja Isingo akisoma wasifu wa marehemu.
Nambai akitoa shukurani za dhati kwa ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye ibada ya misa ya mpendwa mama yake .
Rehema akisema machache ya kuwashukuru watu wote.
Watoto wa Nambai wakifuatilia Ibada ya misa ya bibi yao.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: