ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 29, 2014

MVUA KUBWA ‘YALILOWESHA’ JIJI LA DAR ES SALAAM

Mtaa wa Ohio katikati ya jiji ulivyokuwa umekumbwa na maji.…
Hali ilivyokuwa maeneo ya Mwananyamala A.Maeneo ya Hongera, Sinza, nayo yalijaa maji.
Maeneo ya Afrika Sana yalionja adha ya mvua hiyo kama sehemu nyingine nyingi.
Hapa ni eneo la Mwenge-Bamaga ambalo nalo liliathirika vibaya. 

MTANDAO wetu leo umefanikiwa kuzunguka baadhi ya maeneo katika viunga vya jiji la Dar es Salaam na kujionea baadhi ya maeneo baada ya mvua kubwa ‘kuanguka’ katika jiji hili na maeneo ya jirani na kusababisha adha kubwa kwa wakazi wake.

(Habari/Picha: Gabriel Ng’osha/GPL)

1 comment:

Anonymous said...

na miss na kuitamani sana mvua ya nyumbani.nyumbani nyumbani jamani nyumbani