Ny Ebra akiwa na bint yake maeneo ya bahari beach hotel Ny Ebra yupo Tanzania alikoenda kushuhudia graduation ya mtoto wake kipenzi anaeitwa Fauzia na hapa akiwa maeneo ya bahari ya hindi wakipata ukodak na mtoto wake.
Hapa Ny Ebra wakipata ukodak na mtoto wake wakiwa kwenyei harusi ya rafiki yake Ny Ebra.
Family is first



1 comment:
we ibra kukaa karibu na mwanao wakike si vizuri hata kama ni daddy little girl.kimadili si vizuri kabisa japo kuwa picha hizi haziko mbaya ila weka akilini ukitaka.
Post a Comment