
Jade Sylvester mwenye umri wa miaka 25 anashindia toilet paper mwaka sasa tangia kuanza tabia hiyo ya kula karatasi za maliwatoni. Mimba ya kwanza ndiyo ilisababsiha haya yote, akina mama wengi upatwa na mikasa kama hii ya kupenda kula vitu ambavyo kwa hali ya kawaida huwa ni vigumu kufanya. Habari ndiyo hiyo Jade ubugia mizigo 8 kwa siku na anashindwa kujizuia kupenda kula mzigo huo licha ya kuto kuwa na mimba kwa sasa.

No comments:
Post a Comment