ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, January 3, 2015

ALICHOKISEMA RAY C BAADA YA KUKUMBWA NA ISHU YA PANYA ROAD


Jitiririshe hapa chini na alichokusema juu ya hawa wanaojiita panya rodi maana ni shida, Picha kwa hisani ya Millard Ayo .com

3 comments:

Anonymous said...

Duh ! Kumbe dada Ray C nawe ni mteja wa kula Kiti moto? jiepushe sana na aina ya nyama ya nguluwe ina fett sana tena kiafya ni mbaya kwani ina virusi fulani
vikikimbilia katika ubongo dada utakwisha,jaribu kula matunda,samaki,nyama ambazo sio nyekundu- Ni USHAURI TU MAHAMUZI UNAYO WEWE

Anonymous said...

Waswahili wanasema "ukicheka na nyani,utavuna mabua".Hawa panyaroad ni watu tunaoishi nao,tumieni uzalendo wenu kuwafichua kabla hawajaota mizizi na kuleta madhara makubwa zaidi.

Anonymous said...

Nimeumia kuona watoto wadogo kama hao wamefikia hatua hiyo. Mwenyezi Mungu wahurumie hawa watoto wasiendelee kupotea tuwaombee na wale wanaoweza ongea nao kwa busara, jamani hawa watoto wanahitaji msaada wa kimawazo na maombi. Yaani TZ imefikia hatua hii, inasikitisha sana!