Duh ! Kumbe dada Ray C nawe ni mteja wa kula Kiti moto? jiepushe sana na aina ya nyama ya nguluwe ina fett sana tena kiafya ni mbaya kwani ina virusi fulani vikikimbilia katika ubongo dada utakwisha,jaribu kula matunda,samaki,nyama ambazo sio nyekundu- Ni USHAURI TU MAHAMUZI UNAYO WEWE
Waswahili wanasema "ukicheka na nyani,utavuna mabua".Hawa panyaroad ni watu tunaoishi nao,tumieni uzalendo wenu kuwafichua kabla hawajaota mizizi na kuleta madhara makubwa zaidi.
Nimeumia kuona watoto wadogo kama hao wamefikia hatua hiyo. Mwenyezi Mungu wahurumie hawa watoto wasiendelee kupotea tuwaombee na wale wanaoweza ongea nao kwa busara, jamani hawa watoto wanahitaji msaada wa kimawazo na maombi. Yaani TZ imefikia hatua hii, inasikitisha sana!
Duh ! Kumbe dada Ray C nawe ni mteja wa kula Kiti moto? jiepushe sana na aina ya nyama ya nguluwe ina fett sana tena kiafya ni mbaya kwani ina virusi fulani
ReplyDeletevikikimbilia katika ubongo dada utakwisha,jaribu kula matunda,samaki,nyama ambazo sio nyekundu- Ni USHAURI TU MAHAMUZI UNAYO WEWE
Waswahili wanasema "ukicheka na nyani,utavuna mabua".Hawa panyaroad ni watu tunaoishi nao,tumieni uzalendo wenu kuwafichua kabla hawajaota mizizi na kuleta madhara makubwa zaidi.
ReplyDeleteNimeumia kuona watoto wadogo kama hao wamefikia hatua hiyo. Mwenyezi Mungu wahurumie hawa watoto wasiendelee kupotea tuwaombee na wale wanaoweza ongea nao kwa busara, jamani hawa watoto wanahitaji msaada wa kimawazo na maombi. Yaani TZ imefikia hatua hii, inasikitisha sana!
ReplyDelete