Saturday, January 3, 2015

WAZIRI MKUU AKIWA WILAYANI MLELE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na walimu wa shule ya sekondari ya Usevya wakati alipoitembeklea na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa shule hiyo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Usevya wakati alipoitembelea na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa shule hiyo.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake