ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 25, 2015

HUYU NA YULE.......Mahojiano na Dr Crispin Semakula - Ombi kutoka kwa mdau Japan

Karibu katika kipindi cha HUYU NA YULE ambapo wiki hii tumeongea na Dr Crispin Semakula.
Daktari wa magonjwa ya kisukari, shinikizo la damu na pia Mwalimu wa Afya katika Chuo Kikuu nchini Marekani
Pia ni mwanzilishi wa Access Medical and Dialysis Center iliyopo Dar Es Salaam
Ameeleza mengi kuhusu maradhi anayoshughulika nayo na pia kituo chake.

Huyu na Yule ni kipindi kinachotayarishwa na Vijimambo Blog na kuzalishwa na Kwanza Production
Kwa mawasiliano, maoni ama ushauri, tafadhali wasiliana nasi kupitia kwanzaproduction at gmail.com

1 comment:

Anonymous said...

Asante sana vijimambo kwa kuleta taarifa kama hizi.Hiz ndizo vitu twataka sikia.hongera Dr semakula .tunaomba serikali ya Tanzania iwapeee support watu Kama hawa.watu wengi wanakatishwa Tamaa kutokana na bureaucracy ktk nchi yetu.