Mtoto Ibra Kente akipiga msosi wa Birthday na mama yake Mariam katika kuadhimisha birthday yake ya miaka miwili iliyofanyika Chucky Cheese Fairfax Virginia Jumapili Januari 11,2015.
Busu la penzi zito la mama kwa mtoto.
Keki ya Birthday.
Birthday Boy akipuliza mishumaa.
Birthday Boy Ibra akipata msosi wakati wa kuadhimisha Birthday yake ya miaka miwili.
BirthdayBoys wakiwa na Chuck.
Empress Elinita na Mariam
.Kwa picha zaidiungana na sundyashomari.com
No comments:
Post a Comment