ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 25, 2015

JK AMTEUA MASHA MSHOMBA MKURUGENZI MKUU WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Masha J. Mshomba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi.
Uteuzi huo ulianza Alhamisi iliyopita, Januari 22, 2015.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana Musomba alikuwa Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF).

No comments: