PITA PITA YA VIJIMAMBO MITAA YA KARIAKOO, MAANDALIZI YA MAULIDI YA MTUME (SAW)
Pita pita ya vijimambo ilikuta maamdalizi haya ya kisomo cha maulid ya Mtume (SAW) katika mitaa ya Kariakoo, ikamvutia sana paparazi wetu .
2 comments:
Anonymous
said...
Astakhal fillah sasa hiyo nini x - mass hakuna kitu kama hicho katika uislam huyo nabii ajawahi kusheherekea b day yake au ya baba yake au watoto wake au mtu yyte wa karibu yake midaa
2 comments:
Astakhal fillah sasa hiyo nini x - mass hakuna kitu kama hicho katika uislam huyo nabii ajawahi kusheherekea b day yake au ya baba yake au watoto wake au mtu yyte wa karibu yake midaa
karikoo sehemu ghani hii? na kweli mapambo mengi si mazuri tusiwaege wenzetu jamani mwishowe tutakuwa kama wao na kuwa bidaaa.
but mashallah mnajitahidi kumtukuza mtume wetu s.a.w.
Post a Comment