Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu (wa pili kushoto), akiuangalia mkono wa Adam Robert (aliye vaa flana ya njano) alipo tembelea kituo cha watu wenye Albinizim mwishoni mwa wiki Dar es Salaa, ambaye alikatwa kidole katika kijiji cha Nyaruguguna Geita nakutibiwa Vancouver, Canada kwa matibabu na madaktari wa Hospitali hiho walijitolea kwa kila kitu kumtibu Adam kidole cha kati cha Mguu wa kulia kilipandikizwa kwanye kitu , Kidole cha kati cha mguu wa kuliakilipandikizwa kwenye kiganja chake cha mkono wa kulia kuwa kidole gumba chake kipya, wakwanza ni Mariam Staford kushoto ambaye alitokea kijiji cha Ntobeye Wilaya Ngara Karagwe na Kurwa Lusana toka kijiji cha mbizi Kahama (kulia) (PICHA NA KHAMISI MUSSA).
No comments:
Post a Comment