Advertisements

Monday, February 2, 2015

TASWIRA WA MISA YA THEONESTINA RWEYEMAMU JANA HUKO MT VERNON NEW YORK

Familia ya Nestory Mwombeki Rweyemamu inapenda kuwashukuru wote walioudhulia kwenye misa ya kutimiza mwaka mmoja tangu kifo cha mama yao Theonestina Rweyemamu.
 ilifanyika tarehe 1 Februari, 2015 siku ya jumapili, kuanzia saa nane mchana mpaka saa kumi na mbili jioni 40 East Sidney Avenue, Mount Vernon NY 10550 (COMMUNITY ROOM).
Mungu wetu azidi kukubariki na wewe.

Doris Rweyemamu

Mchungaji akiongoza misa 
Mbele ya mchungaji ni watoto wa Marehemu 
Doris mtoto wa marehemu akitoa shukrani mbele ya watu waliojitokeza kwenye misa hiyo, kwa picha zaidi nenda soma zaidi.






No comments: