Advertisements

Monday, February 2, 2015

TASWIRA YA BABY SHOWER YA NURU SIKU YA JUMAMOSI MT VERNON NEW YORK.

Picha ya Nuru ambayo wapendwa wake walikuwa wanaandika maneno ya pongezi kwa mama kijacho siku ya baby shower yake.
Mama kijacho Nuru jinsi alivyo pendeza akiwa amepozi kwenye kiti cha kujidai siku ya baby shower yake iliyofanya New York siku ya jumamosi, jitiririshe kwa picha na matukio ya siku hiyo kwa kuingia soma zaidi kiroho safi.

6 comments:

Anonymous said...

wabongo kwa minuso! kweli kuna haja ya kuspend pesa kwa ajili ya baby shower wakati tunajua cost ya kulea watoto ni kubwa? afadhali kufungua account ya mtoto kwa ajili ya baadae. By the way I have four kids all born in North America never thought of baby shower. be wise ladies.

Anicetus said...

Baby shower is the best way for moms to socialized and networking with others. We should encourage young mothers and father's to be part of the globalized society. Congratulions to all participants

Anonymous said...

Congratulations Nuru, You look very beautiful and ready. May God guides and protects you through this beautiful Journey.
Mdau wa kwanza hapo juu ningependa kukujibu kuwa babyshower is the way kumpa support mamakijacho from ndugu jamaa na marafiki. Baby shower "HUFANYI MWENYEWE" na kwa mtazamo wangu babyshower inasaidia sana kupunguza gharama especially for first parents. Na YES mpaka watu wameamua kupata mtoto/watoto wameishajipanga. Hongera sana kwa watoto wako wanne. Iam sure ulijipanga before.

Anonymous said...

MDAU WA MWANZO UMEMALIZAAAAAAAAAAAAA NA UMEELEWEKA KUPITA MAELEZO NA UMESEMAA KWELI TUPU HAINA CHENGA BUT KUMBUKA DUNIA HII KILA MTU NA AKILI ZAKE,WATU WANATAKA KU SOCIALIZED KUPUNGUZA STRESS,BABY SHOWER WATU WANALETEWA VIZAWADI VYA VITAKAVYO MSAAIDIA MTOTO.KUMBUKA WATU WANA REGISTER SO ANACHAGUA ANACHOTAKA CHA MTOTO UMLETEE NA WENGINEWE HAWAFANYI HIVI KUHOFIA WASIJE WAKONEKANA MAKURUMBEBE YENYE TAMAAA.

SO JAMANI TUWAACHIYE TU WATU WAFANYE YAO. INFACT COST ZA BABY SHOWER SI KUBWA KUBWA KULETA ZAWADI ULIYOPANGIWA OTHER WISE KAMA ZAWADI HAJAPANGIWA NI POA SANA.

MWACHENI JAMANI A ENJOY NA SHOWER YAKE NA KILA LA KHEIR NAKUTAKIA NURU NA MTOTO AWE WA BARAKA TELE ZILIZO JAAMA REHMA TELE ZA MWENYEZI MUNGU MUUMBA MBINGU NA RADHI NA VYOTE VILIVYOMO.
AMEEN AMEEN AMEEN.

SAVE DELIVERY NURU AND ALL THE BEST JAPOKUWA SIJAALIKWAAA KWA VILE HATUJUUANI BUT NAKUTAKIA KILA LA KHEIR .

Anonymous said...

Congrats enjoy

Anonymous said...

Ulie comment mwanzo kama wewe hujafanya baby shower waache wenzio wafanye kila mtu na maisha yake, hayo ya gharama unayaona wewe yeye kishajipanga na yake.

Mmependeza sana wapendwa hasa mama kijacho, hongera sana na kila lenye kheri liwe nawe.

Love fm Tz