ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 10, 2015

Dk Shein akutana na watendaji Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko katika mpango wa utekelezaji wa malengo kwa robo mbili ya kutoka Julai-Disemba 2014-2015 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kkulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko katika mpango wa utekelezaji wa malengo kwa robo mbili ya kutoka Julai-Disemba 2014-2015 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko na Idara zake wakimsikiliza Waziri Nassor Ahmed Mazrui(hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa ya Wizara ya utekelezaji wa malengo kwa robo mbili ya kutoka Julai-Disemba 2014-2015wakati Mkutano uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk/.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Dk.Malik Juma Akili (kushoto) pamoja na watendaji mbali mbali wa Wizara hiyo wakiwa katika mkutano wa Uongozi katika mpango wa utekelezaji wa malengo kwa robo mbili ya kutoka Julai-Disemba 2014-2015 chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. [Picha na Ikulu.

No comments: