Advertisements

Monday, February 9, 2015

Je Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' Amelinunua Gari Hili Aina ya Rolls Royce Lenye Thamani ya Zaidi ya Tshs 367,080,000 ?

 Diamond ameshtua Mashabiki wake tena baada ya kupost picha ya gari kali na la gharama sana duniani Aina ya Rolls Royce kwenye Page yake ya Instagram
Maswali mengi 
yamebaki kwa wengi kuwa je ni amenunua gari hilo au ameamua kuonyesha mapenzi kwa gari hilo na ku share picha yake.

4 comments:

Anonymous said...

Pamoja na kwamba its not anybody's busisness kuhusiana na nani nkanunua nini.Lakini kama story hii ni ya kweli,then Dogo atakuwa anahitaji an immediate and serious financial counselling kwasababu haiingii akili kununua gari la 360m wakati bado anabanana uswahili kwenye nyumba ya kupanga at the same time hakuna any tangible business ya kuzungusha pesa zaidi ya kutegemea talent yake ya uimbaji amabayo will surely diminish with time..

Anonymous said...

100% Mdau wa juu.

Anonymous said...

nani alikwambia huyu jamaa anapanga nyumba? itakuwa wewe ni mtu wa zamani

Anonymous said...

Toa ushahidi kuwa Diamond kahamia kwenye mjego wake.kwajinsi anavyopenda publicity, Siku aki move kwenye mjego wake not only watanzania wote watafahamu hata Chile & Honduras watajua..