
Magari ya kukwangua theluji barabarani yakifanyakazi yao barabara mjini Boston ambapo siku ya Jumamosi Februari 7, 2015 ilianzakuanguka theluji ambayo imetabiriwa itaanguka mpaka siku ya Jumannne Februari 10, 2015 na kukadiriwa kufikia futi 2.

Magari yakiendela kuweka sawa barabara kurahisisha wenyekutumia vyombo vya moto kupita kwa urahisi.



Mdau akiwakwangua theluji njia ya wapita kwa miguu.
No comments:
Post a Comment