ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, February 11, 2015

MHE. WAZIRI SAMUEL SITTA KUUNGURUMA MKUTANO WA KUJADILI KATIBA -MASWALI YOTE KUJIBIWA LIVE -WOTE MNAKARIBISHWA WASHINGTON DC -JUMAPILI FEB 22 !

               KIINGILIO BURE - ANDAA MASWALI YAKO 

7 comments:

Anonymous said...


ndiyo mnataka kutulipisha tena au vipi?. Maana Viongozi wakija tu mnatulipisha,

Anonymous said...


Watu watakuwa New York February 21 ...nyie mnaleta la kwenda kusikiliza nini ?Atabadili nini? maoni yalisha kusanywa...imebaki kura ya ndio au hapana .
Kama mna nia ya kweli gaweni rasimu ya Warioba na hii mnayoipigia debe watu wasome zote ,,,tuwaulize kwa nini wametoa mambo muhimu ya maadili ya uongozi na kutenganisha nguzo za ubunge na serikali(Uwaziri).


Anonymous said...

Haya wazalendo wa Tanzania nafasi ndio hiyo kama ulisema katiba imepita kimabavu andaa maswala yako ya kuuliza na sie tulioko mbali je tutasikiaje au mngetuwekea live conference japo ya cm mtupe code tuu tusilikie

Anonymous said...

Waambieni walioipitisha hiyo Katiba ndio waulize maswali,hakuna jipya huyo mzee anakuja kutafuta kuzurura tu

Anonymous said...

Wewe unayesema nafasi ndio hiyo....unashirikisha kichwa Kweli au ni kati ya wanaojua hii ni danganya toto?

Hiki sio kipindi cha maoni ,walitakiwa kuja kipindi cha maoni acha kulaghahi watu ...mazuzu tuu ndio wata show up ...na nyie wasaka tonge wenye njaa mbaya.
Pigeni na picha tuwaone lol
Labda nakosea ila juulize baada ya Siku hiyo nini kitabadirika?

Anonymous said...

MASKINI MZEE WA WATU ANGEKUWA RAISI MTARAJIWA BUT WAMETIA MATOPE HASAFISHIKI KWA KUJISHIRIKISHA NA UTUNGAJI WA KATIBA ILIYOCHAKACHULIWA NA SASA WANANCHI HAWANA TENA IMANI NAYE NA URAISI NDO UMESHAMPUNGA MKONO BYE BYE YEYE PEKE NDO ALIKUWA NA SIFA ZA KUWA RAISI MTARAJIWA.

KILICHOBAKI AKAE NA WANANCHI WAKE WA SUMBAWANGA HABARA MAREKANI WATU TUNA MOTO MOTO NA YEYE KWANZA TUNAKWENDA NEW YORK KUSEREBUKA ASITULETE ZAKE ZA KULETA.

CHEZEA EL WEWE KAVISHWA MKENGE KWA MISIFA YAKE AKAUKWEYA URAISI BYE BYE SASA ANATAKA KUTULETEA NINI HANA JIPYA WACHA TUENDE NEW YORK TUKASEREBBUKE NA MASTRESS YETU NA MA BABIES VAENI TUKUONENI JAPO FAHARI YA MACHO OKAY.

Anonymous said...

New York February 21 ndio habari ya mujini kuserebuka kwenda mbele...
Mualikeni pia Sitta watu wa New York.....ila huko za maswali na majibu...burudani tuu