Advertisements

Tuesday, February 24, 2015

MKURANGA WAKABIDHIWA VIFAA VYA KUPIMA NA KUTIBU MACHO

Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Brien Holden Vision Institute Eden Mahayo (kushoto)akimuonyehsa mashine ya kutengenezea miwani baada ya kumkabidhi msaada wa sanduku la vifaa vya kupimia macho vyenye thamani ya shilingi milioni 11.4 Kaimu Mkurugenzi wa manispaa ya Mkuranga Mbenjamin Majoya kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi 122 za wilaya hiyo ambao watanufaika na huduma ya kupima na kutibiwa macho bure. Hafla hiyo ilifanyika katika hospitali ya Wilaya hiyo. Kulia ni Mratibu huduma za macho Mkuranga Dkt.Gilbert Mrema

Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute Eden Mahayo(wapili kulia) akizungumza wakati alipofika katika hospitali ya Wilaya ya Mkuranga kukabidhi msaada wa vifa vya macho kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi 122 za wilaya hiyo ambapo wanafunzi hao watapata huduma ya kupima na kutibiwa macho bure. Wengine pichani kulia ni Mganga mkuu wa Wilaya hiyo Dkt.Francis Mwanisi, Kaimu Mkurugenzi wa Mkuranga, Mbenjamin Majoya na Mratibu wa Taifa wa Huduma ya Macho Dkt.Nkundwe Mwakyusa.
Matroni wa haospitali ya wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, Rosemary Magombola, (kulia), akisoma moja ya maneno kwenye kibao maalumu cha kupimia macho mara baada ya kukabidhiwa msaada huo na taasisi isiyo ya kiserikali ya Brien Holden Vision Institute Eden kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi 122. Kulia ni Mratibu wa taifa wa huduma za macho Dkt.Nkundwa Mwakyusa.
Eden Mahayo (kushoto) akizungumza na wahudumu wa afya wa Hospitali ya wilaya ya Mkuranga, kuhusu umuhimu wa kutunza vifaa hivyo
Afisa maendeleo ya jamii ya mji wa Kibaha mkoa wa Pwani, akikabidhiwa Mashine ya kupimia macho na Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Brien Holden Vision Institute, Eden Mahayo (kushoto) wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya macho 
Wafanyakazi wa hospitali ya Mkuranga na viongozi wa afya wa mji wa Kibaha kitengo cha macho wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa ya Brien Holden Vision Institute Eden,mara baada ya kukabidhiwa msaada wa vifaa vya macho vyenye thamani ya shilingi milioni 11.4. Picha kwa hisani ya K-VIS

No comments: