ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, February 11, 2015

Obama na mpango wake kuwashambulia IS

Rais Barack Obama

Rais Barack Obama ameliomba baraza la Congress kupitisha mpango wa amiaka mitatu wa mashambulizi dhidi ya kundi la wapiganaji wa Kiislam la Islamic State ambalo linashikilia baadhi ya maeneo nchini Iraq. Mpango huo wa Marekani dhidi ya wapiganaji wa IS unahusisha vikosi vya mashambulizi ya ardhini katika jitihada za kutokomeza kundi hilo la kigaidi. Hata hivyo Rais Obama amesema kuwa si kwamba anaomba idhini ya kufanya mashambulizi hayo kwani kwa mjibu wa mamlaka yake hakuna sheria inayoweza kumzuia na kwamba hana nia ya kuendeleza mapigano nchini Iraq bali inamlazimu kufanya hivyo kutokana na vitendo vya IS. Ni mara ya kwanza kwa Rais wa Marekani kuomba idhini ya baraza la Congress ili kutumia majeshi yake tangu utawala wa Rais George W Bush in 2002 pale alipoivamia Iraq

9 comments:

Anonymous said...

Andikini ukweli nyinyi mbona hajasema kwamba Obama kasema usilimu si pekee wanaoeta vurugu za kiigaidi ukiristo ulianzisha vurugu hizi toka zamani Enzi za crusader,mbona mmeufyata hajaandika hayo. acheni zenu za kuleta.

halafu sasa wanamshtumu kwamba jamaa huenda akawa muislamu si mkiristo kwa kuwapa makavu katika mkutano wao wa kidini kwamba
uslamu si ugaidi,ugaidi uliletwa na macruseda. andikeni hayo msifiche fiche bwana

mbona mmeufyata hajaandika hayo. acheni zenu za kuleta.

Anonymous said...

Obama kakuheshimuni sana angeena in deep mbona mngeubuka sana na kutaka kumuuwa.anajua waislamu wana pakaziwa kila aina wa uchafu tu na kuwaziba watu changa la macho.amekuheshimuni sana nyinyi watu mabururaaaz.

ukitaka kuelewa vizuri kinachoendelea middle east fuatilia source historically,mfano mzuri,ni nani walioanzisha na ku-fund ISIS pale mwanzo?Osama je?mujahedeen?hapo Obama asiwasingizie waislam wala ,bali aeleze ukweli tu,yeye kama mmarekani anayewajibika na vitendo vya serikali yake!...hebu Nijilie ugali wangu mie,kwaherini.

Anonymous said...

undelezo waa mfuumo kristo mpaka marekani,obama anawapiga watu changa la macho.anajua kwamba isis nani kaaanzisha ndo maana akasema kwamba uislamu si ugaidi walikuwepo ma crusader walio uwa watu sana kwa dini ya kikiristo.na utumwa ulianzishwa kwa dini ya kikiristo..

mtajijua mlio lala bado,wenzenu wameshaaamka.nyinyi bado laleni usingizi wa ponoooooooooooo kufaa mtu

Anonymous said...

ukweli unauma uongo unauwa;sema kweli Obama,msema kweli kipenzi cha mungu sema kweli nani kaanzisha hii ISIS.watu wanakufa na kuuliwa bure bure baba sema kweli baba hata kama utawachukiza wengi wao.

Anonymous said...

nuru ya uislamu hawezi kuzuilika kwa mwanga wa juwa kwa uongo mnaoupakazia.sema ukweli Obama nani muanzilishi wa ISIS

Anonymous said...

sikilizeni nyimbo ya Black eye peas "where is the love?
mtapata ujumbe kamili.watu wanauliwa uliwa kama wanyama hakuna ubinadamu,kusaka pesa inawatoa watu roho na tamaa ya hii dunia.mkiwa na nafasi usikilizeni huu wimbo una ujumbe muruwa tuishi kwa amani jamani we got only ONE WORLD AND THIS IS IT.

Anonymous said...

Wanacheza na alili za watu na kutengeneza matukio ili wapitishe mambo yao maovu. hii ni mipango ya siri katika kuuleta huu ulimwengu chini ya utawala mmoja kutoka Vatican.

angalia katiba iliyochakachuliwa katika uhuru wa kuabudu vipengele vidogo vidogo vinakataza uhuru wa maoni itakuwa vigumu kufanya mikutano ya kidini na kufundisha imani Fulani hata kama utasema ukwei kwa maandiko.

mfumo kristo unaendelezo huu duniani kote.

amka uliye lala.mshauri wa Obama unamjua ni nani na ametoka wapi.

usiwe mvivu wa kufikiri na kunywa viroba vya pombe na anasa tele za mademu na kuangaia makalio yao tuu.funguka ujifunze utafakari na ujikwamuwe.

usiwe shabiki sana wawana siasa na vyama vya siasa wana mambo yao na malengo yao.

halaaaaaaaaaaaaaaa mwanangu halaa jungu kuuuu HALIKOSI UKOKO

Anonymous said...

Yaani comment zote ni pumba tupu na inaonekana aliecomment ni mtu mmoja mwenye elimu ya madrasa tuu hajui hata 1+1,bro luka comments za aina hizo tupia kapuni

Anonymous said...

1+1 ni tu je wewe 1+1+1 ningapi, kwa akili zako, na kwani huku sunday school huwa mnafundishwaga ni 1 badala ya 3.

mungu baba,mwana na roho mtakatifu ni wangapi hao,mmoja?


uache kutukana madrasa nyau weeeeeeee.

luca please weka comment hii please