ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, February 11, 2015

SIDHANI KAMA SHIDA NI SUTI AU WEWE UNASEMAJE?

The suit wasn't the problem, it was the lack of attention to detail, he may do the same thing which  is the no one does.

11 comments:

Anonymous said...

na bado mafisadi mwaka huu watachanganyikiwa sana tena sana yetu macho tu tunawatazama mungu anawaubua.wote mmoja baada ya mmoja.watu wanaumwa maradhi ya siri wanayatangaza hadharani umepata kusikia wapi.na bado na bado eeeeeeeeeeeeeeeh.

ndembwe ndebwee mlalalo wa chali kifo cha mende kwisha kwisha kabisa time za mafisadi ccm

kilichobaki waibe tu kura ndo watapata ushindi na wawapige wapinzani kwa mabomu wakiupata huuo ushindi wao wa batil ili wasipingwe na wapinzani

Anonymous said...

hakuna mazoezi mafanyeni mazoezi wazee wangu,msifakamiye misosi na mahanjumaji ya mafuta mafuta.mnaona sasa hata kutembea hamuwezi.cheo zamani afya yako muhimu ukiichezea nayo inakuchezea.

Anonymous said...

mbona sehemu ya comment luke huonyeshi kama watu wama comment zinaonekana kama hakuna kumbe zipo bwana aaaaah mambo gani haya hutaki tuzisome nini

Anonymous said...

Yaani hawa wanasiasa, utafikiri wanaishi katika urimwengu wao, hawazioni shida na dhiki za wananchi wao, muangalie yutu baba tumbo lenyewe limemzidi, mwenyewe andazani afya kumbe sio,na huko kukosea kuvaa, au hiyo picha nyingine kawekewa zuria anapita pembeni, nadhani upeo wa kufikiri unazidi pungua, atakuwa na dement, ugonjwa wa kusahau na kutojitambua unayofanya unakosea kumbe. watoke tu, huko kama wizi wa ufisadi, wameshafanya sana, na kulizorotesha taifa hili. halina hata maendeleo

Anonymous said...

hizo ni swagaa mpya jamani, mwacheni kishazoea kuvaa zenye zipu na kamba bora ashonewe za design hizo au avae kanzu tuu.

jamani uraisi uraisi kila mmoja anautaka huyu ndo raisi wetu mtarajiwa

Anonymous said...

Kweli viongozi wetu pasua kichwa.
Kwani tatizo lilikuwa ni suti au uvaaji/ufungaji wa vifungo?
Ina maana hiyo suti haitakuwa na vifungo?

Kuna wengine chupi na vest kama haina lebo hajui mbele wapi wala nyuma.

halafu tunambiwa huyu anagombea uraisi nayeee loooooooooooooooo watanzania mmerogwa na mchawi kishakufaaa na hakuna dawa ya kujitibu tena.

Anonymous said...

Ilikuwa maadhimisho ya kanisa la wasabato alikuja kiongozi wao mkuu duniani pale uwanja wa Taifa siku chache zilizopita. Wasira alienda kama muumini wa kanisa hilo na Membe siku hiyo alikuwa mgeni rasmi.
Wassira analalamika kuwa watu wa Membe wamerusha hiyo picha kumchafua mbio za urais, anadai kwa nini wasichukue picha baada ya kurekebisha vizuri koti lake!

kweli ugalagia majangaaaaa

Anonymous said...

Lean back..., lean back..., lean back. (By Fat Joe)

Anonymous said...

Hongera sana mheshimiwa wasira, na mimi ninakukaribisha katika saluni yangu ambapo nitakupa huduma ya skrabu ya bure kila wiki!....mbona utakuwa mtamu

na halafu nakutafutia kimondo uvaa,utapendeza kweli kweli. aisee

na nashauri sheria ngowi akushoneee masweeta pia na mapull over.

Aisee !!!Wameshazeeka wanang'ang'ania madaraka hadi wanakuwa vipofu

Kweli alifadhaishwa na kuathiriwa kisaikolojia, maanake anachofanya sasa ni utoto!

unapimwa nguo katika offisi ya umma kweli jamani kweli? aiseee,you must be joking, only in Tanzania these things happens.

Anonymous said...

nyara za taifa

Anonymous said...

sasa hapa nani anapata promo wassira au sheria ngowi?

manganga kweli viongozi wetu wa nchii hii mungu saidia sana hawa watu.