ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 8, 2015

TAZAMA UJAUZITO WA ZARI ULIVYOKUA (PICHA)

Siku zilizosalia za Diamond kuitwa ‘baba’ zinaendelea kuyoyoma. Zari The Bosslady, mchumba wake staa huyo wa ‘Mdogo Mdogo’ anayetarajia kumpa mtoto wake wa kwanza ameendelea kuonekana kama wasemavyo waingereza ‘very pregnant’. 

9 comments:

Anonymous said...

sikweli habari hii na hata ikiwa kweli ujuye itam cost sana domo domo diamond tena sana ajue tu huyu zarinnah si kama wala aliozoeaga kuwachezea chezea,huyu ni tafauti kabisa na si mwanamke mjinga.

habari hii kama kweli yetu macho tuangaliye mpaka mwisho wake.


Anonymous said...

wanazini tu bwana,kwanini hawajaoana,watoto wa kiislamu majina tu.kuzaa nje ya ndoa ni kuzini na kumletea mikosi mtoto dini zote zina kataza KUZINI.

Anonymous said...

Mikosi haimpati mtoto asilani itakupata ww mzazi kwani mtoto ana kosa gani, mtoto ni baraka usituletee mambo yako kujitia unajua mambo apa kwendraaaaaaaa

Unknown said...

Zariha aka.zari bora angepata mimba ya nasib..maana wamezid..lakini kla day majanga

Unknown said...

Poa Sana Bloger

Unknown said...

Poa Diamond,mtaani Fanya Mambo By HKiller"kisogo

Unknown said...

Mtoto hana kosa,,,,endelea kumimina mambo

Unknown said...

Poa Sanaaa Diamond

Anonymous said...

Kwendeni zenu na mawivu yenu ya kijinga!mnashindwa kuwapa hongera kwasababu mambu yenu yame kwama totorooo!mioyoni mnaumia.yamkini mkifuatilia kuzaliwa kwenu kunautata pia .mikosi itoke wapi wakati kuzaliwa kwao ni ruhusa ya mollah mwenye haki zote?waombeeni kila lililo la heri nanyi mtafanikiwa kwa upendo huo loh!mna roho mbaya hata kwa kijacho?tafuteni yenu pia tuwasikie sio kukosoa wenzenu na kuwawazia mabaya wenye kupendana eboh.uko sawa ndugu yangu ukweli ni wanatamani wangalikuwa wao ila watasubiri sana wenyewe wameshaonyesha njia yao