Thursday, February 19, 2015

Unawaambia nini watu wanaodharau kazi za watu?

Kila binadamu ananjia zake za kutafuta ridhiki ili aweze kuishi na kupata mahitaji yake muhimu,kuna binadamu ambao wao hujiona ni bora kuliko wengine mpaka kufika hatua ya kuwadharau na kuwapuuza watu wa kipato cha chini,wanasahau kuwa maisha ni kutegemeana huyu asipofanya kazi ya kuuza mkaa yeye anaweza kushindwa kula sababu ili ale huenda mkaa ungesaidia kupika.huyu asipozibua vyoo kesho wewe utashindwa kutumia choo chako ulichokijenga kwa gharama kubwa.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake