Thursday, March 12, 2015

GARI LA KUBEBEA PESA LAPATA AJALI MAENEO YA NEW JERSEY

Gari hili lilipata ajali na drive wake kuumia vibaya na hapa kama unavyoona kikosi cha uokoaji kikifanya kazi ya kumuokoa drive wa gari hilo katika eneo la ajali iliyotokea maeneo ya New Jersey. Kama ingetokea maeneo yetu yale mbona ingekuwa neema kwa watu wakaribu na eneo la ajali kama unavyo jua barabara nyingi upita karibu na maeneo ya makazi ya watu.
Chanzo cha ajali akikueleweka bali ukodak wa Tembaphoto ukipita eneo la ajali na kupata picha hizi
Hii ni foleni ambayo ilisababishwa na ajali hiyo ilitokea route 78 West  New Jersey

1 comment:

Anonymous said...


"Kama ingetokea Africa.." Kwa baadhi ya viongozi wa Tanzania, wananchi wanaamini viongozi wanachunga miradi yao, lakini vile vile,hao viongozi wanajikawia miradi (escow) wenyewe bila ajali yeyote. Kwenye ajali hii iliyotokea78 W NJ, polisi wanahakikisha kuwa majeruhiwa wanapelekwa hospitalini salama na pesa hazikupotea:Huu ni mfano wa kuiga.