ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 4, 2015

GEPF WATOA SEMINA KWA MAAFISA UTUMISHI WA TAASISI MBALIMBALI JIJINI MBEYA

Meneja masoko wa mfuko wa pensheni wa GEPF, Ndg Aloyce Ntukamazima akimkaribisha mkuu wa mkoa wa mbeya ndg Abbas kandoro katika semina maalumu iliyoandaliwa na mfuko huo kwa Maafisa utumishi wa ofisi mbalimbali za mkoa huo.
Baadhi ya maafisa utumishi wa mkoa wa mbeya wakifuatilia kwa makini semina hiyo katika ukumbi wa hoteli ya Hill view jijini mbeya .
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Ndg. Abbas Kandolo akitoa neno la ufunguzi wa semina hiyo. Kushoto kwake ni Meneja wa GEPF Mkoa wa mbeya Ndg Ramadhan Sosora
Maafisa Utumishi Kutoka Taasisi mbalimbali za Mkoa wa Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Meneja wa mfuko wa GEPF mkoa wa mbeya Ngd, Ramadhan Sosora, Meneja masoko wa mfuko huo, Ngd, Aloyce Ntukamazina Tanzania na Mkuu wa mkoa Ndg. Abbas Kandolo.

No comments: