Advertisements

Tuesday, March 3, 2015

LUGE MUTAHABA FEKI AKAMATWA AKIWATAPELI WATU MBALIMBALI SOMA HAPA

Huyu kijana amekamatwa leo Clouds, kwa kosa la kutapeli watu mbalimbali kwa kutumia majina ya wafanyakazi wa Clouds akiwemo Ruge Mutahaba na kujifanya yeye ndio kiongozi wa idara ya muziki ya Clouds fm na kuwatapeli wasanii chipukizi kwa kuomba rushwa ya hela ili nyimbo zao zichezwe redioni-Credit Musike Corner  Blog

1 comment:

Anonymous said...

Jamani hivi Kweli kuna underground musician au mwananchi asiyemjua Ruge mutahaba na watangazaji wa clouds?hili ni changa la macho na kutaka kupotezea scandal la clouds kuwaomba hela musician ili nyimbo zao zichezwe kituoni clouds.Jirekebisheni na si kupandikiza matapeli bila kufikiria.