Advertisements

Tuesday, March 3, 2015

NJIA YA BAISKELI INAYOTOKEA MARIETTA, GEORGIA MPAKA ALABAMA

The Silver Comet Trail ni njia ya kuendeshea baiskeli inayoanzia mji wa Marietta jimbo la Georgia na kuishia kwenye mpaka wa jimbo la Alabama. Njia hii inaurefu wa maili 61.5 pia hutumia na watembea miguu wanaofanya mazoezi na wanaotembea na wanyama wakufugwa..
.
Njia ya waendesha baiskeli inavyoonekana
Hapa ni sehemu ya kupumzika.

No comments: