Advertisements

Saturday, April 25, 2015

FUND RAISING YA WAHANGA WA KIMBUNGA YA KISIWA PANZA HUKO PEMBA

Kimbunga kilichotokea Juzi na kuathiri zaidi ya watu Mia mbili bila kuwa na makazi.
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazanzibari Marekani ZADIA anawahimiza watu wote kuwasidia Wahanga wa Kisiwa Panza huko Pemba baada ya kupata Kimbunga huko Zanzibar Juzi Familia  mia mbili zimekuwa bila makazi , Tunaomba Mchango wako kusaidia familia hizi.
Ahsante Mwenyekiti ZADIA
 Sheikh Omar/ Mkiti ZADIA 215 459 4449
Unaweza kuchangia Online kwa kupitia link hizi hapa

No comments: