Advertisements

Wednesday, April 22, 2015

KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR ‘ZLSC’ CHATOA MAFUNZO KWA MAAFISA MAHAKAMA YA KADHI

Kituo cha huduma za Sheria kimetoa Mafunzo kwa Maafisa wa Mahakama ya Kadhi juu ya ulinzi wa Mtoto Zanzibar.22 APRIL 2015,MAZSONS HOTEL SHANGANI.
 BAADHI ya Mashekh wakisikiliza mada katika mkutano uliondaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar
 MRATIBU wa mafunzo  ZLSC Gabriel Mkama akitoa maelekezo katika mafunzo hayo.
 Sheikh Khamis Abdul hamid akiwasilisha maada ya malezi ya mtoto.
 Afisa habari wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Suleiman Abdulla akitoa ufafanunuzi.
Sheikh akichangia katika mkutano huo.

No comments: