Advertisements

Sunday, April 12, 2015

MNUSO BAADA YA SHEREHE YA HARUSI YA OSWALD NA SUSAN BURMINGHAM, ALABAMA

Wadau mbalimbali waliotokelezea kwenye mnuso wa baada ya sherehe ya harusi ya Oswald na Susan uliofanyika katikati ya mji wa Burmingham jimbo la Alabama wakipata picha ya pamoja.

Ni ukodak moment kwenye mnuso wa baada ya sherehe ya harusi ya Oswald na Susan

Wadau wakiwa katika picha ya pamoja

Mnuso wa baada ya sherehe ukiendelea.

Ni ukodak kwa kwenda mbele

Wadau wakiselebuka

Mnuso wa baada ya sherehe ukiendelea
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

1 comment:

Anicetus said...

Beatiful!!!

Ibra: Hao watanzania huko Alabama warakula nini huku New York hatupati? Au raha tu!!

Watanzania wa Alabama mnakaribishwa New York for a social change.