Familia ya Mr. & Mrs. Julius & Janice Manase, wanasikitika kutangaza kifo cha Victor Kabaka (Kaka yake Janice) kilichotokea leo, Alhamisi, 9 April 2015Nairobi, Kenya. Marehemu alipata ajali ya gari Ijumaa3 April 2015 na kulazwa ICU mpaka mautiyalipomfika.
Msiba upo nyumbani kwa Mr. & Mrs. Manase, address:
13600 Ansel Terrace
Germantown MD 20874
Kama ilivyo mila na desturi yetu karibuni tujumuikekutoa mkono wa pole na kuwafariji wafiwa.
Kwa wale walioko mbali ambao wangependa kutoarambi rambi , wanaweza kutumia account ifuatayo:
Julius Manase
Bank of America
Account # 446031608569
Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na
Janice Manase: 240-461-2249
Mmbone Beatrice: 443-286-3024

No comments:
Post a Comment