Patrick Kluivert akiwa juu ya gari la kitalii pamoja na mchezaji mwenzie wote walisha chezea timu ya Barcelona na wako nchini Tanzania kupepetana na timu ya wakongwe wa liowahi kuchezea timu za Yanga, Simba na Taifa Stars hapo jumamosi. Credit:ShaffihDaud.
|
No comments:
Post a Comment