Advertisements

Friday, May 22, 2015

ALMA NYANG'ORO AKAMATA NONDO, NORTH CAROLINA

 Alma Nyang]oro akiwa na Baba na Mama katika picha ya pamoja baada ya kukamata nondo katika shule ya Cary Academy iliyopo jimbo la North Carolina.
 Alma katika picha ya pamoja na babu yake Mzee Yusuf Kalala na mdogo wake Monica baada ya kukamata nondo yake ya high school katika shule ya Cary Academy.
 Alma na mama yake Alu Kalala Nyang'oro wakipata picha ya kumbukumbu katika siku hii muhimu maishani mwake.
 Alma na mjomba wake Felix.

Alma akipata picha na familia nzima
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


2 comments:

Anonymous said...

Hongera sana Mjukuu wangu Mpenzi Alma kwa kuhitimu masomo yako. Mungu akubariki na aendelee kukusimamia katika kila jambo utakalofanya katika maisha yako.

Bibi Joyce Mwombela

Anonymous said...

Jamani High School diploma? nadhani kila mtu anatakiwa kuwa na high diploma, akipata degree ya kwanza itakuwaje? or just photo OP