Advertisements

Monday, May 25, 2015

DOTTO HARUNA AKAMATA NONDO PRINCE GEORGE COMMUNITY COLLEGE

Dotto Haruna katika picha baada ya kukamata nondo ya utaalam wa mapafu na upumuaji( Respiatory practitioner with honor degree kutoka Prince George Community College, Maryland nchini Marekani.
Dotto Haruna akiwa na ndugu yake Sensei Ramadha Fundi siku alipokamata nondo katika chuo cha Prince George.
Dotto Haruna akiwa na familia yake.
Dotto Haruna akiwa na wanafunzi wenzake Mazengo class 98 waliofika kumpongeza kwa kukamata nondo kwenye sherehe yake siku ya Jumamosi May 23, 2015.
Dotto Haruna na marafiki zake katika picha.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi