HICHO NDICHO ALICHOKESEMA MAYWEATHER JUU YA MTONYO WAKE
Floyd Mayweather: “Why Should I Donate Money To Africa”, “What Has Africa Done For Me”?
6 comments:
Anonymous
said...
He is an uneducated fool. Philanthropy is a great cause. Wake up Black man! in that regard let him make efforts to help inner city brothers and sisters, especially those in the hoods and ghettos. Remember, even Africans pay to watch your fights bro!
His Baby Mama Is Suing him for 20 Million Dollar for Defamation. When he was promoting the bout, he went to Katie Couric live televised interview and said that his baby mama lied about Floyd assaulting her, however, he was just restraining her after he found out that she was using illegal drugs.
he is right what did Africa did for him?lazima uheshimu uamuzi wake,hujui mtu ametoka wapi amepitia mangapi ana uchungu gani so msijifanye mnajua kusema sema na ushauri kibao,yeye anajiamini ndo anayejua na ndo aliyetoa kauli hiyo.so what if Africa watch his fight,kakulazimisheni si kihere here chenu tu kutaka kuburudishwa kwenye nuninga na mitandaoni.mnalazimishwa na mtu,si kila siku mnataka kuwakopi watu wa majuu na life style zao.na kupenda vya nje vya kwenu NDANI HAMVIPENI.
ISIYENI HUKO.mwacheni uamuzi ndo wake na pesa ndo kisazipata anapeta nazo na anajua atakachozifanya hata akizichoma moto ni zake.
Ukweli unauma ndugu zangu. Adonate and then ziishie kwa Tibaijuka na Ruge? Mtu mzima umesema kweli. Enjoy your $5000 champagne. Africa IS FOR AFRICANS tuachie wenyewe tuhangaikie kutoboa na EPA
huyu jamaa katoka wapi?mweusi wa wapi huyu?unajua katumia psychologia sana kusema kwanini awape pesa zake Africa,si mnamkumbuka yule doctor aliyekuwa anafanya kazi Liberia akawa anasema kwamba nchi yake na waafrica wanamuhitaji sana yeye kuliko nchi za nje akaumwa akaja marekani wakamgomea kumtibia akafaa.
kama mnakumbuka issue ile basi mjua jamaa huyu katumia psychologia kubwa hii ndo akili kubwa, ana nia sana ya kuwasaidia waafrica na nchi za kiiafrica lakini anaogopa akisema kweli nia yake watampaisha na kumfilisi.
waone hivi hivi wazungu;wanataka daima wao waonekana wa maana na kuwapenda wao tuu.

Why Africa? He can donate to Nepal where there is an emergency!

Post a Comment