Advertisements

Tuesday, May 26, 2015

JIJI LA DAR ES SALAAM LAPENDEKEZA MAJIMBO MANNE ZAIDI; VIONGOZI WASEMA WATU NI WENGI MNNO

MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadicky, akiongoza kikao cha RCC, Ilala Boma jijini leo Jumanne Mei 26, 2015. Kwa pamoja kikao hicho kilichowaleta pamoja, wabunge wote wa Dar es Salaam, wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa Manispaa zote tatu, Temeke, Ilala na Kinondoni, watendaji wa Manispaa hizo, na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wa mkoa, kimependekeza kuongezwa kwa majimbo zaidi ya uchaguzi kwenye jiji hilo lenye wakazi wanaokaribia miulioni 5. Majimbo pendekezwa waliyataja kuwa ni Kijicho, wilayani Temeke, Chanika wilayani Ilala, Bunju na Kibamba, wilayani Kinondoni. Mapendekezo hayo uatapelekwa tume ya taifa ya uchaguzi(NEC), kwa uamuzi wa mwisho.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, na Suzan Lyimo, (wote kutoka CHADEMA)
Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustin Ndungulile
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kiondoni, Injinia Mussa Nati
Mkuu wa wilaya ya Temeke, Sophia Mjema
Suzan Lyimo
Mkuu wa Mkoa Sadick
Wabunge wa viti maalum wa Dar es Salaam kupitia CCM, Zarina Madabida, (kushoto), na Sophia Simba, wakiteta jambo
Mbunge wa viti maalum kutokawilaya ya Temeke, 
Mariam Kisangi,
Wakuu wa vyombo vya dola, mkoa wa Dar es Salaam
Mkuu wa mkoa akisikiliza kwa makini mjadala
Picha kwa hisani ya K-Vis Blog

No comments: