ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, May 12, 2015

KOCHA WA SIMBA APEWA MASAA 24 KUONDOKA AU KUBAKI


klabu ya Simba imempa masaa 24 kocha wao ,goran kama anataka kubaki au kuondoka kwa mujibu wa mwenyekiti wa ,amati ya usajili Hans pop kutokana timu yao kufanya vibaya mapato kiduchu pia klabu hiyo imeweafutia wachezaji 3 raia wa uganda pia.
credit:Mzuka wa fungo

No comments: