Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mvua katika
shehia za Mwanakwerekwe, Jang’ombe na Kwahani.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili
wa Rais wa Zanzibar Dkt. Khalid Salum, akimuonyesha Maalim Seif maeneo
yaliyoathirika na mvua huko Mwanakwerekwe.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitoa maelekezo, wakati akitembelea maeneo
yaliyoathirika na mvua katika manispaa ya Zanzibar.
Makamu wa Kwanza wa
Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiagana na Sheha wa Shehia ya
Kwahani Bw. Nassir Ali Kombo, baada ya kutembelea maeneo yaliyoathirika na mvua
katika shehia hiyo. (Picha na Salmin Said, OMKR)
No comments:
Post a Comment