Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akitembele Mradi wa Ujenzi wa Bara bara inayoanzia Kiashangwe Mkwajuni hadi Mbuyu Tende Matemwe unaotekelezwa na Kampuni ya Penny Royal inayosimamia mradi mkubwa wa ujenzi wa Hoteli ya Kimataifa itayopewa jina Zanzibar Amber Resort.
Kulia ya Balozi Seif ni Msimamizi Mkuu wa Mradi wa Zanzibar Amber
Resort kwa upande wa Zanzibar Bibi Naila Jidawi.

Balozi Seif akielezea faraja yake mbele ya Uongozi wa Zanzibar Amber Resort kutokana na hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa bara bara hiyo itakayosaidia kuondosha usumbufu wa mawasiliano Wananchi wa Maeneo ya Matemwe Mbuyu Tende. Kulia ya Balozi ni Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Zanzibar Amber Resort huko Matemwe unaosimamiwa na Kampuni ya Penny Royal Bwana Brian na Msimamizi wa Mradi huo kwa upande wa Zanzibar Bibi Naila Jidawi.
Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Zanzibar Amber Resort huko Matemwe unaosimamiwa na Kampuni ya Penny Royal Bwana Brian kati kati akimuonyesha Balozi Seif ramani halisi itakavyokuwa ya ujenzi wa Hoteli hiyo. Mwanzo kutoka kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Nd. Haji Juma haji na mwanzo kulia ni msimamizi wa Mradi huo kwa upande wa Zanzibar Bibi Naila Jidawi.
Balozi Seif akiwanasihi Wananchi wa Kijiji cha Matemwe kuendelea kushirikiana na muwekezaji aliyejitokeza kuweka mradi mkubwa wa Kiuchumi wa Hoteli ya Zanzibar Amber Resort ndani ya Kijiji chao.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akimpongeza Msimamizi wa Mradi wa Hoteli wa Zanzibar Amber Resort kwa upande wa Zanzibar Bibi Naila Jidawi kwa jitihada zake zilizofanikisha kuanza kutekelezwa kwa mradi huo.
Picha na -OMPR – ZNZ.
Picha na -OMPR – ZNZ.
Wananchi wa Kijiji cha Matemwe wameshauriwa kuendelea kushirikiana na
Wawekezaji walioamua kuwekeza miradi yao ndani ya maeneo yao baada ya
kupata ridhaa ya Serikali ili miradi inayoanzishwa iweze kuwasaidia
kimapato na kukidhi mahitaji yao ya kimaisha ya kila siku.

Ushauri huo umetolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi
Seif Ali Iddi alipofanya ziara fupi ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa
Bara bara ya Kilomita 12 yenye kujengwa na Kampuni ya Penny Royal
inayotaka kuanzisha mradi mkubwa wa Hoteli ya Kimataifa itakayopewa
jina la Zanzibar Amber Resort katika kijiji cha Matemwe Mkoa wa
Kaskazini Unguja.

Balozi Seif alisema Wananchi wa Kijiji cha Matemwe wanapaswa kuendelea
kuwa tofauti na Wananchi wa maeneo mengine nchini kufuatia bahati
waliyoipata ya kuanzishwa kwa mradi mkubwa wa kiuchumi ndani ya kijiji
chao jambo ambalo baadhi ya wenzao huonyesha kuhitilafiana na
Wawekezaji wanaojitokeza.

Alisema kazi iliyo mbele yao Wananchi hao hasa Vijana ni kujituma
zaidi katika kutafuta Elimu itakayokuja wapa fursa za kupata ajira
katika mradi huo Mkubwa unaotarajiwa kutoa nafasi za ajira
zisizopungua Elfu 1,000.

Balozi Seif alifahamisha kwamba zipo kazi mbali mbali zitakazoibuka
ndani ya mradi huo wa Zanzibar Amber Resort ambazo zinahitaji
kuchangamkiwa na Wananchi Wazalendo badala ya kulemaa na hatimae
kujachukuliuwa na Wafanyakazi wa Kigeni.

“ Wananchi msipokuwa makini hasa vijana katika kujiandaa kusaka elimu
kwa ajili ya nafasi hizo itafikia wakati wa kuanza kusikitika na
kuilalamikia Serikali kwa kukosa fursa za kazi “. Alisema Balozi Seif.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar alieleza kwamba Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kushirikiana na wawekezaji wowote
waliokubali kuwekeza miradi yao ya Kiuchumi hapa Nchini.

Alisema katika kuunga mkono juhudi za wawekezaji hao Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar tayari imeshaupitisha mradi huo wa Zanzibar
Amber Resort baada ya kukamilisha taratibu zinazohitajika katika
masuala ya uwekezaji.

Mapema Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Zanzibar Amber
Resort huko Matemwe unaosimamiwa na Kampuni ya Penny Royal Bwana Brian Thomson alisema Uongozi wa Mradi huo umemua kuanza na ujenzi wa Barabara ili kuwaondoshea usumbufu wananchi wa eneo hilo pamoja na
watendaji wa mradi huo wakati ujenzi utakapoanza rasmi.

Bwana Brian alimueleza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kwamba Mradi
huo utakwenda sambamba na ujenzi wa Skuli, Hospitali, Kituo cha Polisi
sambamba na ujenzi wa Kituo cha Jamii kitakachowapa fursa Wananchi wa
Matemwe hasa wajasiri amali kuendesha miradi yao katika eneo la
kisasa.

Alifahamisha kwamba Uongozi wa Zanzibar Amber Resort umekusudia
kufanyakazi kwa karibu zaidi na Jamii mpango utakaosaidia kuleta
mafanikio makubwa kati ya pande hizo mbili pamoja na Serikali Kuu.
Mendaji Mkuu huyo wa Mradi wa Zanzibar Amber Resort alieleza kwamba
mradi huo pia utajenga uwanja wa ndege na kiwanja cha mchezo maarufu
wa Golf ambao hupendwa zaidi na matajiri wakubwa katika maeneo mbali
mbali Ulimwenguni.

“ Mradi wetu mkubwa utakaokuwa na kiwanja cha ndege na mchezo maarufu
unaopendwa na matajiri wengi Duniani wa Golf tunamategeo ya kuzalisha
ajira nyingi zitakazowapa fursa wananchi wazalendo kupata ajira za
kujiendesha kimaisha “. Alifafanua Bwana Brian.

Akitoa ufafanuzi Msimamizi Mkuu wa Mradi wa Zanzibar Amber Resort kwa
upande wa Zanzibar Bibi Naila Jidawi alisema kwamba Wataalamu wa
Kampuni inayosimamia mradi huo watatengeneza Visiwa vidogo vidogo kwa
kufukia Bahari ili kuongeza mandhari nzuri ya mradi huo wa Hoteli.
Bibi Naila alisema miradi ya kufukia Bahari ambayo hufanyika katika
baadhi ya Nch Duniani huzingatia utaalamu mkubwa wa hali ya juu chuni
ya usimamizi wa wataalamu wa Bahari, hali ya hewa pamoja na wale wa
mazingira.

Alisisitiza kwamba matengenezo hayo ya visiwa vidogo vidogo
yatakwenda sambamba na ujenzi wa mkahawa maalum utakaojengwa chini ya
Bahari zikiwemo nyumba za wafanyakazi.

Huu ni mradi wa pili wa ujenzi wa majengo yanayotoa huduma za wageni
na watalii ndani ya Bahari katika Visiwa vya Zanzibar ukitanguliwa na
ule wa Chumba cha chini ya Bahari kilichojengwa katika Kijiji cha
Makangale Mkoa wa Kaskazini Pemba karibu miaka mitatu iliyopita.
Othman Khamis Ame
Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar

No comments:
Post a Comment