Advertisements

Wednesday, May 27, 2015

MAKAMUZI YA JEMBEKA FESTIVAL MWANZA

Diamond Platnumz katika stage la Tamasha kubwa la burudani linalokwenda kwa jina la JEMBEKA FESTIVAL liliyofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza na kukusanya ummati mkubwa. Tamasha hilo liliweza kukidhi haja za mashabiki wake kwani walilazimika kubaki eneo la tukio hadi mwisho wa tukio majira ya saa 12 asubuhi ya siku iliyofuata.
Diamond Platnumz akimlisha keki Mkurugenzi wa Jembe ni Jembe Dr. Sebastian Ndege ikiwa ni sehemu ya Uzinduzi wa Jembe Fm 93.7 Mwanza, ndani ya Tamasha la JEMBEKA FESTIVAL liliyofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza na kukusanya ummati mkubwa. Tamasha hilo liliweza kukidhi haja za mashabiki wake kwani walilazimika kubaki eneo la tukio hadi mwisho wa tukio majira ya saa 12 asubuhi ya siku iliyofuata. 
Cake ya uzinduzi.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Diamond Platnumz na stage la JEMBEKA FESTIVAL = OYOMBA YES..
Juu....
The Platnumz kikazi zaidi.
Hatari.
Shaap....
Waooo....!!
Kikazi zaidi...
Makamuzi wacha yaendelee.
Shughulini.
Wasafi.
Izo Bizness.
Mkali wa Hip hop Izo Bizness ndani ya uzinduzi wa JEMBEKA FESTIVAL 2015.
Godzillah.
Mr. Blue.
Mr. Blue akifanya yake yake kwa stage. 
Mheshimiwa Temba, Maromboso na Chege katika songi lao Wauwe. 
Chege na Temba.
Wanaume.
Madee.
Wana waliimba na Madee.
Yamoto Band.
Stape ..Nyataaaa.
Maufundi kwa stage na Yamoto Band.
Dogo Asley.
Kiduku kilichezeka kwa mguu mmoja.
Kamata twende.
JJ Band wakiwa na Dogo Janja.
H. Baba akiwa na mabalozi wa JEMBEKA FESTIVAL 2015.
Sekta ya ukarimu ilisimamiwa na Mabalozi wetu hawa.
Mkali wa siku nyingi katika game ya home asiyechuja Kibra aka Sir Juma Nature (kushoto) pamoja na kutambua mchango wa waandishi na wadau sekta ya habari pia alimtambulisha rasmi mtangazaji mpya wa Jembe Fm 93.7 Albert G. Sengo (kulia) mbele ya mashabiki waliofurika katika uwanja wa CCM Kirumba kuhudhuria Tamasha kubwa la burudani JEMBEKA FESTIVAL 2015.
Sir Nature.
Kibra.
Kutoka nyuma hadi kwenye umati.
The nyomi is hot.....
Hili game.
The area is full of Shangwe....!!
Aksante Mwanza. Picha na G Sengo Blog

No comments: