Leo, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi anatimiza miaka 90. Tulipata fursa ya pekee kuketi naye akatueleza mambo machache kuhusu maisha yake UNGANA NASI
1 comment:
Anonymous
said...
Ndugu mtangazaji tunashukru sana kufanya mahojiano na rais mstaafu Mwinyi. Nafikiri ungefanya yawe marefu kupata kujua na kujifunza mengi kutoka kwake japo viongozi wetu wengi wa afrika hawana utamaduni wa kuandika vitabu ili kuacha kumbukumbu kwa watu na vizazi vinavyokuja kusoma na kujifunza kutoka kwao. Naona Kama ulikuwa na mengi ya kuuliza na kuna topics nyingi tu haukumuuliza kabisa. Asante. Magai.
1 comment:
Ndugu mtangazaji tunashukru sana kufanya mahojiano na rais mstaafu Mwinyi. Nafikiri ungefanya yawe marefu kupata kujua na kujifunza mengi kutoka kwake japo viongozi wetu wengi wa afrika hawana utamaduni wa kuandika vitabu ili kuacha kumbukumbu kwa watu na vizazi vinavyokuja kusoma na kujifunza kutoka kwao. Naona Kama ulikuwa na mengi ya kuuliza na kuna topics nyingi tu haukumuuliza kabisa.
Asante.
Magai.
Post a Comment