MZEE SAMUEL NTAMBALA LUANGISA
Familia ya Marehemu Mzee Luangisa na New York Tanzania Community, inawakaribisha kwenye MISA ya kumuaga Marehemu Mzee wetu, Baba yetu na Kiongozi wetu Mzee Samuel Ntambala Luangisa (83), kabla ya kwenda Bukoba kwa mazishi Siku Jumamosi MAY 30th, 2015
kuanzia Saa: 1pm - 5pm
Address: LEE'S Funeral Home L.L.C
160 Fisher Avenue
White Plains, NY 10606
Baada ya Misa sote tutajumuika nyumbani kwa Wafia The Luangisa Residence:
374 Hawthorne Terrace,
Mt. Vernon, NY 10552
Mpe taarifa mwenzako wote karibuni.
Kwa taarifa zaidi wasiliana na:
1. Prof. K. Lwiza 631-273-3859
2. Dr. Abas Byabusha 914-584-7502
3. Shabani Mseba 347-712-8539
4. Hajj Khamis 347-623-8965
Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake la Bwana litukuzwe. Amen!
1 comment:
ahsanteni sana kwa taarifa hii na poleni sana wafiwa wote na tafadhali mnaweza kutupa wasifu kidogo wa mzee wetu luangisa;alikuwa nani alifanya nini serikalini tafadhalini kwa sisi tusiomjua ahsanteni na poleni sana wafiwa wote na watanzania wote wa new york
Post a Comment