Advertisements

Thursday, May 21, 2015

MKUTANO WA BAWACHA ARUSHA

 Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema akihutubia katika mkutano wa BAWACHA Arusha.
 Baadhi ya kinamama waliohudhuria mkutano wa BAWACHA wakionekana wenye furaha.
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Mh Amani Golugwa (wa pili kutoka kushoto) akicheza ngom kuwaunga mkono akinamama wa Arusha katika mkutano wa Baraza la Wanawake BAWACHA Arusha

No comments: