ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 14, 2015

MSIBA DMV NA TANZANIA

Rama Kamguna wa Beltsville, Maryland nchini Marekani anasikitika kutangaza kifo cha mpendwa mama yake mzazi kilichotokea Mkoani Morogoro, Tanzania leo May 14, 2015. Mipango ya mazishi inafanywa na marehemu anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatatu May 18, 2015.

Kupeana pole na kufarijiana ndio ustaarabu wetu upatapo nafasi usisite kujumuika na wafiwa nyumbani Beltsville, Maryland anuani ni 
3588 Poweder Mill Road Apt # 301, 
Beltsville, MD 20705. 
Kwa maelekezo na maelezo zaidi unaweza kupiga simu 
Rama Kamguna 202 459 3839 
Ali 202 378 0095


1 comment:

Anonymous said...

pole sana kwakuondokewa na mama nami hii njia nilipitia inauma sana,pole sana sana