Advertisements

Wednesday, May 27, 2015

MSIBA DMV NA TANZANIA

Kennedy Mamuya enzi ya uhai wake

Bi. Loveness Mamuya wa Odenton, MD inasikitika kitangaza kifo cha kaka yake mpendwa Kennedy Mamuya kilichotokea alfajiri ya 5/27/15. Tanzania.

Kama ilivyo mila na desturi kupeana pole ndio ustaarabu wetu  ukipata muda pita nyumbani kwa wafiwa na kumpa mkono wa pole na kuwafariji katika msiba huu wa kuondokewa na mpendwa kaka yao.

Msibahapa DMV upo 
1005 Meandering Way,
 Odenton, MD 21113.

Kwa maelezo zaidi unaweza piga simu Lovenesss Mamuya (240) 423 0437

Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.

1 comment:

Anonymous said...

Poleni sana Mamuya's family