Advertisements

Tuesday, May 26, 2015

TAARIFA YA MSIBA NEW YORK NA TANZANIA.


MZEE SAMUEL NTAMBALA LUANGISA

Familia inatayarisha usafirishaji wa mwili wake kwenda Tanzania. 
Bwana Mungu alitupa huyu Mzee wetu na Bwana Mungu amemtwaa. Jina la Bwana lisifiwe.
Salaam za faraja zitumwe kwa wafuatao:
Peter Luangisa namba 917 681 6971 au kwa Kwame Luangisa namba 914 645 9104 au kwa Mao Luangisa namba 917 709 6889. Namba ya nyumbani ni 914 664 6817
Address ya nyumbani 
 374 Hawthorne Terrace , Mt. Vernon. NY 10552

Ukitaka kutoa rambirambi yako unaweza kutumia number hizi hapa chini.
Luangisa na Kwame Luangisa. Bank ni Bank of America. Account# 9504210977. Routing# 021000322. Swift code ni BOFAUS3N. 

2 comments:

Anonymous said...

peter,mao,juliet,rose,kwamme,na family yote poleni sana jamani poleni sana.juliet pole sana my dear

Anonymous said...

Poleni sana familia ya Luangisa. Tunawaombeni katika hiki kipindi.